Banana Zoro - Zoba

Song Rating: 8.30/10

Song lyrics:

Mafunzo yote! Pozi zote! Mauzo yote!
Eti binti hanitaki Nimesubiri sana,
nimechukua za uso, kuda deki!
Si uzoba huu? Aiyey!
Chorus
Subira yangu ndiyo iliyoniponza Ngoja, ngoja,
naonekana Zoba
Subira yangu ndiyo iliyoniponza Ngoja, ngoja,
naonekana mjinga
Kwa sababu nilimpenda kweli (4x)
Verse 1
Mawazo, mawazo yatawala kichwa changu,
ee Maumivu, maumivu yamevunja moyo wangu
ee Kusubiri, kusubiri, nimekusubiri mpenzi wangu
ee Lakini umekuja kuuvunja moyo wangu
ee Nilikuwa nikamili nisifanye jambo lolote nawe
Mpaka tuje tufunge ndoa,
umalize na masomo Huko umekwenda huko chuoni
ee Umebadilika mama, umebadilika, umebadilika sana Mama yo, mama yo Mama yo, mama yo, mama yo Unaniona mimi Zoba, Zoo-oba ee
Chorus
Subira yangu ndiyo iliyoniponza
(Imeniponza miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana Zoba
(Zoba la mapenzi ee) Subira yangu ndiyo iliyoniponza (Nimepotezwa miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana mjinga (Sijui la kufanya ee) Kwa sababu nilimpenda kweli
(Kweli eee) Kwa sababu nilimpenda kweli
(Nilimpenda kweli) Kwa sababu nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli ooo) Kwa sababu nilimpenda kweli (Mama yo, mama yo)
Verse 2
Inauma sana, mpenzi wako Wampenda sana,
wamlinda sana, Wapata habari, kumbe mwenzako Kampenda sana, rafiki yako Ndo maana juzi,
umeacha mazoezi Ndo maana siku hizi hutaki
kuwa na mimi Mapenzi (mapenzi) yananiumiza (yananiumiza) Mapenzi (mapenzi) yananitesa


(nitakulinda wewe) Maumivi ya mapenzi,
zaidi ya mwiba Sikitiko la mahaba,
la shinda msiba Nitakulinda mama
Nitafanya jambo lolote kwa ajili yako
nahakikisha nakuwa na wewe, wewe ee
Mama yo, mama yo, mama yo
Unaniona mimi Zoba, Zoo-oba ee
Chorus
Subira yangu ndiyo iliyoniponza (Imeniponza miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana Zoba (Zoba la mapenzi ee)
Subira yangu ndiyo iliyoniponza (Nimepotezwa miye ee) Ngoja, ngoja, naonekana mjinga (Sijui la kufanya ee)
Kwa sababu nilimpenda kweli (Kweli ee)
Kwa sababu nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli ee)
Kwa sababu nilimpenda kweli (Nilimpenda kweli oo)
Kwa sababu nilimpenda kweli Mama yo, mama yo (3x) Nitakulinda wewe, mpenzi wangu wewe
Hii ni ahadi naiweka kwako wewe
Wewe oo, wewe oo
Upo kwa ajili yangu ee
Nitasubiri siku zote Litunze penzi langu mama
Mapenzi, mapenzi, mapenzi,
mapenzi, mapenzi, mapenzi,
mapenzi, mapenzi mabaya
Mapenzi mabaya, mapenzi mabaya,
mapenzi mabaya, mapenzi mabaya
Lakini mpenzi wangu, mapenzi,
umalize masomo tuwe wapenzi kweli
Tufunge ndo na we mama nakupenda
Nakupenda kama wali wa nazi (I love you)
Mbona mwenyewe, Nimeamua kusubiri oo,
kusubiri Usifanye mama,
nikaonekana Zoba Nikija kungoja,
siku zote mama

Date of text publication: 16.01.2021 at 08:25